Karibu sana kwenye site yetu![]() |
MUZIKI NA MAISHA Nakupenda.mp3 chinachina.mp3 WHERE WE GO SANA TU PRODUCTION.mp3 Karibu sana katika website yetu,website ya wabishi toka kidongo chekundu{Nachingwea}miongoni mwa wilaya kongwe za Tanzania. Katika pande za mianzini wilayani Nachingwea baadhi ya vijana akiwepo Rashidi Saidi{Man Chidi},Jeku Pawa{Mohamed Chamhingo} ,Spizzy 1{Victor Paul} kwa pamoja wanajituma ktika kuhakikisha angalau badala ya vijana kukaa vibarazani kupiga umbea na dada zao wanatumia muda wao kwa ajili ya mazoezi ya muziki sababu kwa wanaoamua kufanya mziki ni kazi matokeo huwa ni mazuri. Tunawaweka buzy sababu wanajua ipo sehemu tutaenda tutafanya music,saa ingine wajufanya mazoezi ili waweze kushiriki baadi ya shows tunazofanya. Upatapo bahati ya kupitia web site yetu tafadhari tunaomba pitia sehemu ya nyimbo mpya halafu sikiliza nini tunafanya and then unaweza kutupa mawazo,kipi ni vipi. Better late than never! Bless! Wahi mapema ufanye kazi kwa gharama nafuu ikiwa ni kama ofa ya kufunga mwaka. KARIBUNI WOTE.United We Stand and Divided We Fall. Bless! |
